by Dickens Luvanda | Sep 8, 2025 | KISWAHILI NEWS
Shule ya Upili ya Wasichana ya St. George’s, iliyoko Kilimani, jijini Nairobi, imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya usiku wa vurughu na mvutano mkali kati ya wanafunzi na walimu. Ghasia zilizowahusisha wanafunzi zaidi ya 1,800 zilianza jana Jumapili Septemba 7,...
by Dickens Luvanda | Aug 13, 2025 | KISWAHILI NEWS
Shirikisho la Soka Barani Afrika (“CAF”) kupitia Kamati yake ya Nidhamu limekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (“CHAN”) PAMOJA 2024 yanayoendelea Kenya, Uganda na Tanzania, chini ya udhamini wa...
by Dickens Luvanda | Aug 5, 2025 | KISWAHILI NEWS
Timu ya taifa ya Algeria, maarufu kama ‘The Dessert Foxes’, waliwatoa kijasho wenzao wa Uganda, maarufu kama ‘Uganda Cranes’ na kuwapa kichapo cha mbwa katika mechi ya kundi C. Mbweha hao waliwachachafya Korongo mabao 3-0, kuwania kombe la...
by Dickens Luvanda | Jul 31, 2025 | KISWAHILI NEWS
Mabingwa mara mbili wa kombe la Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN), DR Congo, maarufu kama the Leopards (Chui), waliwasili nchini mapema Alhamisi kupitia uwanja wa JKIA tayari kushiriki kipute cha mwaka huu ambacho kitaendelea nchini Kenya, Uganda na Tanzania. Chui...
by Dickens Luvanda | Jul 4, 2025 | KISWAHILI NEWS
Mwalimu mmoja kutoka Shule ya Msingi Mikindani, eneo bunge la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jioni ya Alhamisi, eneo la Maasai, Taita Taveta, kwenye barabara kuu ya Mombasa – Nairobi. Mwalimu huyo alikuwa...