NATIONAL NEWS

BUSINESS NEWS

BEACON NEWS

PITCH SIDE

Kipenga

Mwalimu mmoja kutoka Shule ya Msingi Mikindani, eneo bunge la Jomvu, Kaunti ya Mombasa, amefariki dunia kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea jioni ya Alhamisi, eneo la Maasai, Taita Taveta, kwenye barabara kuu ya Mombasa – Nairobi. Mwalimu huyo alikuwa akiandamana na wanafunzi waliokuwa wakirejea kutoka Shule ya Upili ya Kenyatta, ambako walishiriki katika tamasha […]
Huku zikiwa zimesalia siku za kuhesabu kabla Jumatatu ya Sabasaba (Julai 7, 2025) siku ambayo vijana wa Gen Z wametangaza maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali ya Rais William Ruto, wasiwasi unaendelea kuwakumba wafanyibiashara sehemu mbalimbali, kwa hofu ya biashara zao kuvamiwa na waporaji wanao-ingilia maandamano hayo kwa nia mbaya. Katika eneo-bunge la Mavoko kaunti […]
Mwanablogu aliyekuwa ametoweka Ndiangui Kinyagia amejitokeza katika mahakama kuu Jijini Nairobi Alhamisi Julai 3, 2025, baada ya mahakama hiyo kuagiza mkuu wa idara ya upelelezi wa jinai Mohamed Amin, kumwasilisha. Kinyagia alitoweka akiwa katiak nyumba yake ya kukodi, mtaani Kinoo, kaunti ya Kiambu Juni 22, 2025 baada ya kile ambacho majirani walitaja kuwa kilikua ni […]