Mwanablogu Ndiangui Kinyagia alikua wapi?

Mwanablogu Ndiangui Kinyagia alikua wapi?

Mwanablogu aliyekuwa ametoweka Ndiangui Kinyagia amejitokeza katika mahakama kuu Jijini Nairobi Alhamisi Julai 3, 2025, baada ya mahakama hiyo kuagiza mkuu wa idara ya upelelezi wa jinai Mohamed Amin, kumwasilisha. Kinyagia alitoweka akiwa katiak nyumba yake ya...