by Dickens Luvanda | Jul 3, 2025 | KISWAHILI NEWS
Hatimaye Bunge la Kitaifa limepitisha kwa kauli moja, Mswada wa Marekebisho ya Katiba wa Mwaka 2025, unaonuia kujumuisha kwenye katiba hazina ya serikali ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge NG-CDF, hazina ya serikali ya kitaifa inayotengewa makundi maalum, NGAAF na...