NATIONAL NEWS

BUSINESS NEWS

BEACON NEWS

PITCH SIDE

Kipenga

Shule ya Upili ya Wasichana ya St. George’s, iliyoko Kilimani, jijini Nairobi, imefungwa kwa muda usiojulikana baada ya usiku wa vurughu na mvutano mkali kati ya wanafunzi na walimu. Ghasia zilizowahusisha wanafunzi zaidi ya 1,800 zilianza jana Jumapili Septemba 7, usiku kufuatia madai ya kisa cha kugombana kati ya mwalimu na mwanafunzi wa Kidato cha […]