by Dolly Mwirigi | Mar 5, 2026 | KISWAHILI NEWS
Marekani na Israel zinaendelea na mashambulizi dhidi ya Iran, katika operesheni ya kijeshi iliyoanza mwishoni mwa Februari 2026. Mashambulizi hayo yamelenga maeneo ya kijeshi, vituo vya makombora, pamoja na baadhi ya miundombinu inayohusishwa na mpango wa nyuklia wa...
by Dolly Mwirigi | Feb 26, 2026 | KISWAHILI NEWS
Rais wa Botswana, Duma Gideon Boko, amekataa mwaliko wa kutembelea Ikulu ya Marekani (White House) uliotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, akisisitiza kuwa mazungumzo yoyote yanayohusu rasilimali za nchi yake yanapaswa kufanyika ndani ya Botswana. Akizungumza...