Hofu ya Sabasaba, maandamano yakinukia

Hofu ya Sabasaba, maandamano yakinukia

Huku zikiwa zimesalia siku za kuhesabu kabla Jumatatu ya Sabasaba (Julai 7, 2025) siku ambayo vijana wa Gen Z wametangaza maandamano ya kitaifa dhidi ya serikali ya Rais William Ruto, wasiwasi unaendelea kuwakumba wafanyibiashara sehemu mbalimbali, kwa hofu ya...
Mwanablogu Ndiangui Kinyagia alikua wapi?

Mwanablogu Ndiangui Kinyagia alikua wapi?

Mwanablogu aliyekuwa ametoweka Ndiangui Kinyagia amejitokeza katika mahakama kuu Jijini Nairobi Alhamisi Julai 3, 2025, baada ya mahakama hiyo kuagiza mkuu wa idara ya upelelezi wa jinai Mohamed Amin, kumwasilisha. Kinyagia alitoweka akiwa katiak nyumba yake ya...