by Dickens Luvanda | Nov 28, 2022 | BUSINESS NEWS
The Christ Is The Answer Ministries – CITAM Presiding Bishop Calisto Odede will on Tuesday flag off Bread of Life (BOL) campaign and Cash Transfer to drought victims in several parts of the country. CITAM which has 29 branches on 15th October 2022, through its...
by Hope Media | Dec 11, 2016 | news
Two explosions near a football stadium in the heart of Turkey’s biggest city, Istanbul, have killed 29 people and injured 166, the government says. The explosions, believed to be a car bomb and a suicide bomb, targeted police officers, officials say. Witnesses...
by Dickens Luvanda | Mar 19, 2026 | KISWAHILI NEWS
Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Moi Voi, katika kaunti ya Taita Taveta imetangaza kusitisha kwa muda – huduma za uchunguzi wa CT scan kwa wagonjwa, kwa miezi miwili, kuanzia Machi 17 hadi Mei 7, 2026. Katika taarifa, Msimamizi wa Hospitali hiyo Owen Juma,...
by Dickens Luvanda | Mar 19, 2026 | KISWAHILI NEWS
Kongamano la wajumbe wa chama cha ODM (NDC) linalotarajiwa kufanyika mnamo Machi 27, 2026 limegeuka kuwa jukwaa la vuta n’kuvute na mkwaruzano wa vita vya kisheria na kutishia kuyumbisha chama hicho baada ya kifo cha mwanzilishi wake, Raila Odinga. Mbunge wa...
by Dickens Luvanda | Mar 19, 2026 | KISWAHILI NEWS
Chama cha Pamoja African Alliance (PAA) kinachoongozwa naye Spika wa Bunge la Seneti Amason Kingi, baada ya kuwa Gavana wa Kilifi chini ya chama cha ODM, kwa miaka kumi – kutoka 2013 – 2022, sasa kimezama. Kingi ametangaza chama hicho kimevunjwa ili...
by Dickens Luvanda | Mar 19, 2026 | KISWAHILI NEWS
Idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko yanayoshuhudiwa nchini imefikia 71 baada ya watu watano zaidi kufariki katika kaunti ya Nairobi, ukanda wa Mashariki na Mkoa wa Pwani. Haya yanajiri wakati idara ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini Kenya ikionya kuwa mvua...
by Vincent Maoncha | Mar 18, 2026 | sports
Senegal football national team striker Sadio Mane has expressed disappointment after the Confederation of African Football (CAF) on Tuesday night, overturned the result of the AFCON 2025 final, awarding Morocco the title after Senegal walk-off. In a statement on his...
by Dolly Mwirigi | Mar 5, 2026 | KISWAHILI NEWS
Marekani na Israel zinaendelea na mashambulizi dhidi ya Iran, katika operesheni ya kijeshi iliyoanza mwishoni mwa Februari 2026. Mashambulizi hayo yamelenga maeneo ya kijeshi, vituo vya makombora, pamoja na baadhi ya miundombinu inayohusishwa na mpango wa nyuklia wa...
by Dickens Luvanda | Mar 3, 2026 | news
Approximately 3.3 million Kenyans across 23 Arid and Semi-Arid Land (ASAL) counties are facing food insecurity, the Senate Committee on National Security, Defence and Foreign Relations has been told. Appearing before the Committee, the National Drought Management...
by Dolly Mwirigi | Feb 26, 2026 | KISWAHILI NEWS
Rais wa Botswana, Duma Gideon Boko, amekataa mwaliko wa kutembelea Ikulu ya Marekani (White House) uliotolewa na Rais wa Marekani, Donald Trump, akisisitiza kuwa mazungumzo yoyote yanayohusu rasilimali za nchi yake yanapaswa kufanyika ndani ya Botswana. Akizungumza...
by Melissa Oduor | Feb 23, 2026 | Uncategorized
The government says multi-agency security teams have been deployed across the country to ensure peaceful religious observances. Security agencies have heightened patrols around places of worship, major towns, transport hubs and public gathering areas to prevent any...
by Melissa Oduor | Feb 23, 2026 | Uncategorized
Governor Wavinya Ndeti has called for political tolerance and the protection of democratic space, stating that leaders should be allowed to engage freely with citizens without coercion or intimidation. Speaking during a Sunday service at St. Joseph Catholic Church...