NATIONAL NEWS

BUSINESS NEWS

BEACON NEWS

PITCH SIDE

Kipenga

Hospitali ya Rufaa ya Kaunti ya Moi Voi, katika kaunti ya Taita Taveta imetangaza kusitisha kwa muda – huduma za uchunguzi wa CT scan kwa wagonjwa, kwa miezi miwili, kuanzia Machi 17 hadi Mei 7, 2026. Katika taarifa, Msimamizi wa Hospitali hiyo Owen Juma, alisema uamuzi huo umechukuliwa “ili kuruhusu ukarabati wa kitengo cha CT scan […]
Kongamano la wajumbe wa chama cha ODM (NDC) linalotarajiwa kufanyika mnamo Machi 27, 2026 limegeuka kuwa jukwaa la vuta n’kuvute na mkwaruzano wa vita vya kisheria na kutishia kuyumbisha chama hicho baada ya kifo cha mwanzilishi wake, Raila Odinga. Mbunge wa Saboti Caleb Amisi anasema yeye pamoja na wenzake katika mrengo wa ‘Linda Mwananchi hawatahudhuria […]
482221112_1221725929317678_202585035680129371_n

Chama cha PAA hakitapaa tena 2027

Dickens Luvanda
March 19, 2026
0
Chama cha Pamoja African Alliance (PAA) kinachoongozwa naye Spika wa Bunge la Seneti Amason Kingi, baada ya kuwa Gavana wa Kilifi chini ya chama cha ODM, kwa miaka kumi – kutoka 2013 – 2022, sasa kimezama. Kingi ametangaza chama hicho kimevunjwa ili kuungana na chama tawala cha UDA anachoongoza Rais William Ruto, kwa matayarisho ya […]